Mourinho aweka wazi msimamo wake Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameweka wazi msimamo wake kuhusu teknolojia ya usaidizi wa refarii kwa kutumia video (VAR) ambapo amesema kuwa maamuzi zaidi yanatakiwa kubakia kwa waamuzi. Read more about Mourinho aweka wazi msimamo wake