Serikali yatoa agizo viwanda vilivyobinafisishwa
Katibu Mkuu Wizara wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Prof Elisante Ole Gabriel, amesema serikali itahakikisha viwanda vinavyobinafisishwa katika maeneo mbalimbali nchini vinafanya kazi kulingana na makusidi ya uanzishwaji wake.

