Azam FC waandaliwa kiakili
Kuelekea mchezo wa ligi kuu kesho kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya Ndanda FC, kocha wa mabingwa hao wa Mapinduzi Aristica Cioaba amesema amewaandaa kiakili wachezaji wake kuhakikisha wanarejea kileleni kwenye mzunguko huu wa pili.