"Ndoa nyingine unajitwisha mabomu"- Edu Boy
Msanii wa Hip Hop anayewakilisha Mwanza, Edu Boy amefunguka na kudai amekerwa na kitendo cha Dogo Janja kumuita yeye mtoto mdogo na kumtaka atengue kauli yake hiyo kwani kuoa kwake kusimfanye awe na dharau kwa wengine.

