Serikali kumfikisha Mahakamani huyu
Serikali imeagiza Mkandarasi jengo la abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uliopo katika Mkoa wa Mbeya, afikishwe Mahakamani kwa kushindwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja huo.

