Mgombea ubunge Kinondoni apigwa onyo

Diwani wa Kata ya Sombetini, Ally Bananga amemuonya mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Kinondoni ndugu, Salum Mwalimu kufahamu kuwa kama atakuja kuwasaliti baada ya kushinda uchaguzi kwa kuhama chama ajue hataweza kuwa salama katika maisha yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS