Fidel Castro ajiua Mtoto mkubwa wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi na baadaye Rais wa Cuba Fidel Castro, Fidel Castro Diaz-Balart amejiua baada ya kupatiwa matibabu kwa muda mrefu wa msongo wa mawazo. Read more about Fidel Castro ajiua