Kingunge afariki dunia Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Mzee Kingunge Ngombale-mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospital ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu Read more about Kingunge afariki dunia