Madee azichambua Arsenal na Chelsea Msanii wa Bongo Fleva Madee, anajulikana kama miongoni mwa mastaa ambao ni wapenzi wa soka akiunga mkono timu ya Arsenal ya nchini England ambayo leo inacheza na Chelsea na amejitokeza kutoa uchambuzi wake. Read more about Madee azichambua Arsenal na Chelsea