Yanga yatangaza kiama kwa Lipuli
Kuelekea mchezo wa ligi kuu raundi ya 16 kesho kati ya wenyeji Lipuli FC dhidi ya Yanga SC Afisa Habari wa wanajangwani Dismas Ten amedai watapambana kadri ya uwezo wao kupata matokeo yaliyokuwa mazuri ili waweze kuutetea ubingwa wao wasije kuupoteza