"Sitaweza kuja kusahau"- Jux Msanii wa muziki bongo fleva Juma Jux amefunguka na kudai heshima aliyopewa nchini Burundi hakuna mwana muziki yeyote aliyowahi kupewa ya kuimbiwa wimbo wa taifa wa nchi hiyo kwenye show. Read more about "Sitaweza kuja kusahau"- Jux