Msanii mwingine apata dili kimataifa Mchekeshaji maarufu na mwenye umri mdogo zaidi kutokea nchini Nigeria Emanuella Samuel amepata 'shavu' jipya la kufanya kazi na kampuni kubwa dunia ya utengenezaji filamu ya Disney Studios. Read more about Msanii mwingine apata dili kimataifa