Mimi Mars akubali yaishe kuhusu Vanesa Mdee

Msanii anayefanya vizuri kwa sasa ngoma ya 'Sitamani' chini ya Mdee Music, Mimi Mars amekubali yaishe kwa mashabiki wanaoendelea kumfananisha na dada yake Vanessa Mdee kwa kusema kuwa anaamini kufananishwa kwao hakutaisha hata akikataa kiasi gani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS