Ajib aachwa, Ninja kukaa nje Kocha wa mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Goerge Lwandamina, amemwacha nje ya kikosi cha leo mchezaji wa timu hiyo Ibrahim Ajib kwenye mchezo wa leo dhidi ya Lipuli FC. Read more about Ajib aachwa, Ninja kukaa nje