Sababu za Wigan kuimaliza Man City

Klabu ya soka Wigan Athletics ambayo usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kuwa timu ya pili kutoka England kuifunga Manchester City msimu huu, ilikua na sababu nyingi za kufanya hivyo wala haijabahatisha kutokana na historia kati ya timu hizo mbili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS