Mwigulu akazia vitambulisho vya Taifa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr. Mwigulu Nchemba amewataka watanzania kujiandikisha kupata kitambulisho cha Taifa kwani si zoezi la hiari ni lazima kwa mtanzania aliyeko ndani ya mipaka ya nchi ili kutambuliwa.