Burnley wathibitisha kauli ya Guardiola Utabiri wa kocha wa Manchester City Pep Guardiola kuwa safari ya "Burnley ni ngumu" imeonekana kuwa sahihi baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa EPL uliomalizika jioni hii. Read more about Burnley wathibitisha kauli ya Guardiola