Andy Serkis na uhusika wa kufikirika
Anaitwa Andrew Clement G. Serkis ambaye alizaliwa April 20, 1964, huko London Uingereza, akiwa mtoto kwenye familia yenye watoto wanne. Mama yake alikuwa ni mwalimu wa shule za watu maalum na Baba yake alikuwa ni daktari.

