Mbunge mwingine akamatwa Kenya Mbunge wa jijini Nairobi nchini Kenya, amekamatwa kuhusiana na mzozo unaozunguka kujiapisha kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Raia Odinga kwa kile anachokitaja kama rais wa watu wa Kenya. Read more about Mbunge mwingine akamatwa Kenya