Mapya ya Askofu Kakobe yaibuliwa
Baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Followship(FGBF), Zachary Kakobe kudai kuwa anapesa nyingi kuliko serikali, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) leo imeweka wazi kuwa hana akaunti wala fedha katika taasisi ya fedha hapa nchini.

