Billnass ajibu tuhuma zake
Rapa Billnass ambaye anatamba na ngoma ya 'Sina Jambo' amesema kupotea kwake katika 'game' ya muziki hakumaanishi kwamba ameshuka kisanaa kama watu wanavyodai kwa kuwa hajatoa ngoma yoyote kwa sasa ambayo ikashindwa kufanya vizuri.

