Mtumishi wa TRA akamatwa kwa kulawiti mtoto Mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Hassan Abuutwalib maarufu Kiringo anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 13. Read more about Mtumishi wa TRA akamatwa kwa kulawiti mtoto