Brazil yaweka rekodi kwenye soka
Mashabiki wa soka nchini Brazil jana wameshuhudia tukio lisilo la kawaida michezoni baada ya wachezaji tisa kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa 'Derby' kati ya timu za Vitoria na Bahia, baada ya kutokea vurugu kuelekea mwisho wa mechi.

