Ahukumiwa kwa kumtilia mkewe pilipili kwenye chupi Mtu mmoja anyejulikana kwa jina la Moses Okello amehukumiwa kifungo cha nje na kufanya kazi za jamii kwa siku 40, baada ya kukutwa na hatia ya kumtilia pilipili mke wake kwenye nguo ya ndani. Read more about Ahukumiwa kwa kumtilia mkewe pilipili kwenye chupi