Rais Magufuli ateua Mwanasheria Mkuu mpya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Read more about Rais Magufuli ateua Mwanasheria Mkuu mpya