Chirwa aachwa safari ya Yanga Klabu ya soka ya Yanga ambayo inaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika inatarajia kuondoka nchini kesho kwenda Shelisheli huku nyota wake Obrey Chirwa akiachwa nje ya kikosi. Read more about Chirwa aachwa safari ya Yanga