Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Polisi Arusha kuendelea kupambana na ukatili

Tuesday , 6th Dec , 2022

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema litaendelea na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kwa kuhakikisha wanaibua na kuwachukulia hatua watu wote wanaojihusisha na vitendo hivyo.

Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi wanawake (TPF NET), mkoani humo Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Edith Swebe

Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi wanawake (TPF NET), mkoani humo Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Edith Swebe, wakati akiongea na wananchi wa jamii ya kifugaji eneo la Namanga wilayani Longido katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili.

SSP Swebe amesema ni wakati sasa wa jamii kuwaibua na kuwafichua watu wachache wanaofanya vitendo hivyo vya ukatili katika jamii ambapo Jeshi la Polisi litaendelea kufanya doria pamoja na kutoa elimu kuanzia ngazi ya familia, mtaa, Kata na hata wilaya ili kuhakikisha matukio ya ukatili yanaisha kabisa.

Naye Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Longido kwa niaba ya Mkuu wa wilaya Boniphace Lugola, amewataka wananchi, viongozi wa vitongoji, vijiji na watendaji wa ngazi zote kila mmoja kwa nafasi yake kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kwa kufuatilia na kuwafichua wahalifu wote wanaojihusisha na matukio ya ukatili katika jamii wanazoishi.

HABARI ZAIDI

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania