Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

IGP Sirro aagiza operesheni dawa za kulevya 

Wednesday , 7th Apr , 2021

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, Tanga, Pemba pamoja na Unguja kisiwani Zanzibar kufanya operesheni ya pamoja kudhibiti makosa ya dawa za kulevya.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro

IGP Sirro ametoa maagizo hayo leo akiwa kisiwani Zanzibar ambapo amesema katika kipindi cha miezi mitatu makosa ya jinai yamepungua kwa asilimia 19.1 huku ya usalama barabarani yakipungua kwa asilimia 14.

"Bado madawa ya kulevya ni shida lakini makamanda wa mkoa wa Mtwara, Lindi, Tanga, Dar es Salaam na makamanda wote wa Pemba na wa Unguja ni lazima wafanye operesheni za pamoja hili suala haliwezi kutushinda uwezo mkubwa tunao kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama tuwashughulikie sana sana," amesema IGP Sirro.

Pia IGP Sirro amemdelea kusisitiza kwa viongozi wa dini kushirikiana na polisi ili kukabiliana na suala mtambuka la matukio ya udhalilishaji wa kijinsia.

"Bado makosa ya uzalilishaji ni suala ambalo ni mtambuka,  jeshi la polisi pekee yake hawawezi wakalimaliza hili tatizo nasisitiza tena viongozi wa dini watusaidie, sheria ni msumeno wewe Sheikh ukifanya kosa sheria ichukue mkondo wake, na Padri akifanya kosa sheria ichukue mkondo wake lakini ni elimu ni msingi sana watu wabadilishe fikra zao," amesema IGP Sirro.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa