Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rapa watano anaowakubali Roma Mkatoliki

Tuesday , 17th Jan , 2017

Rapa Roma Mkatoliki leo kwenye kipindi cha Planet Bongo amefunguka na kutaja orodha ya wasanii wake wa tano wa hip hop Bongo ambao anawasikiliza na kuwakubali zaidi kutokana na kazi zao.

Roma Mkatoliki

Roma Mkatoliki kwa kuanza alimtaja Rapa Roho Saba na kusema anamsikiliza sana na kumkubali sana na watu watashangaa kwanini amemtaja Roho Saba ili hali ana ngoma mbili tu ila yeye anasema anazisikiliza sana hizo kazi mbili kuliko kazi nyingine nyingi kutoka kwa wasanii wengine.

"Kiukweli nawasikiliza sana wasanii wengi wa Hip hop Bongo lakini kwa kuwa nimepewa nafasi ya kutaja wasanii watano tu wa kwanza nitaanza na mwanangu Jaco Roho Saba, mchizi ana ngoma mbili tu lakini nazisikiliza sana, namkubali sana Jose Mtambo, Prof Jay pia maana kitambo namsikiliza na alini'inspire' toka enzi hizo mpaka leo. Wengine ni Saigoni pamoja na Hashim Dogo" alisema Roma Mkatoliki 

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari