Victor Tesha, Makamu wa Rais wa shirikisho la wachimbaji Tanzania (FEMATA).

19 Nov . 2024

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga

18 Nov . 2024

Nafasi ya Ukurugenzi wa ufundi ni nafasi nyeti sana kwenye timu kwani mipango ya timu kuanzia falsafa ya timu aina ya uchezaji wa timu Wachezaji wanaohitajika na timu kulingana na aina ya falsafa iliyopo kwa wakati huo, mipango ya baadae aina gani ya Kocha aajiriwe yote ipo chini ya utendaji wa Mkurugenzi wa ufundi.

18 Nov . 2024

Carsley alichukuwa nafasi ya aliyekuwa Kocha wa timu hiyo Gareth Southgate aliyejiuzulu baada ya michuano ya UEFA Euro 2024. Ameiongoza timu hiyo michezo sita akifanikiwa kushinda michezo mitano na kupoteza mmoja dhidi ya Ugiriki uliofanyika mwezi Oktoba 2024.

18 Nov . 2024

Stars inahitaji matokeo ya ushindi kama inahitaji kufuzu kwa mara ya tatu mfululizo mashindano hayo baada ya kufanya hivyo 2019,2023 inayosubiriwa kuona tutapata matokeo ya ushindi dhidi ya Guinea, Tanzania itakuwa imejihakikishia kufuzu AFCON kwa mara ya nne katika historia yake 1980,2019,2023 na 2025.

18 Nov . 2024

Nyota huyo wa zamani wa VfL Wolfsburg na Borussia Mönchengladbach anatarajiwa kufanya makubwa kikosi cha Yanga FC kutokana na kurithi kikosi chenya Wachezaji bora walio washindani.Kazi yake ya kwanza itakuwa kurudisha viwango vya Wachezaji vilivyoporomoka, pili kusimamia nidhamu za Wachezaji wa kikosi hiko kutokana na kuvuja kwa taarifa kuhusiana na nyota wengi wa mabingwa hao watetezi wa ligi kuu Tanzania bara kuendekeza starehe na kuporomosha viwango vyao.

15 Nov . 2024

Miguel Gamondi alijiunga na Yanga SC Juni 2023 kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mwalimu wa timu hiyo ya Wananchi Mtunisia Nesreddine Nabi ambaye alitimkia AS FAR Rabat ya nchini Morocco.Gamondi anayesifika kwa uwezo wake mkubwa wa kufundisha mpira wa kushambulia na burudani kutokana na asili yake ya America ya Kusini kucheza mpira huku ukiwa na tabasamu mdomoni mwako.Ameiongoza timu ya Wanajangwani kushinda Kombe la Shirikisho Tanzania, Kombe la Ligi kuu Tanzania bara pamoja na kucheza hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.

15 Nov . 2024

Dkt.Samia Suluhu Hassan, akitoa salam za pole

14 Nov . 2024