Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Alikiba ni wa dhahabu - Mkubwa Fella

Wednesday , 9th Aug , 2017

Meneja wa wasanii ambaye pia ni kiongozi wa kituo cha Mkubwa na wanawe Mkubwa Fella, amesema yeye hana tofauti na msanii yeyote, na kudai anaweza kufanya kazi hata na Alikiba ambaye wengi wanadhani ana tofauti naye kubwa.

Mkubwa Fella ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Afrika Radio, na kusema kuwa hajawahi kugombana na Alikiba na anaweza kufanya naye kazi, kwani Kiba ni mwanaye wa dhahabu.

"Mimi kwanza sijawahi kusema sifanyi kazi na mtu yeyote, kwanza Alikiba mimi mwanangu wa dhahabu, mwanangu wa gold wala usiseme kuna kitu hichi, mimi ndiyo meneja wa kwanza katika mziki huu sina pingamizi ya kusema nitafanya kazi na mtu au niogope kufanya  kazi na mtu, wote wanangu mimi ni mkubwa na wanawe, Alikiba mwanangu haijawahi kuonekana hata siku moja mimi na Alikiba tunagombana, sijakuwa hivyo", alisema Mkubwa Fella.

Kwa muda mrefu kumekuwa na dhana kuwa Mkubwa Fella hawezi kufanya kazi na msanii Alikiba kwa kuwa meneja huyo amekuwa karibu sana na watu kutoka WCB ambao wanaonekana kuwa tofauti na Alikiba, lakini leo Mkubwa Fella amezima hizo dhana na kusema yeye anaweza kufanya kazi na Alikiba

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari