
Kushoto ni RPC Arusha ACP Salum Hamduni na kulia ni mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Godbless Lema.

Meneja wa kituo cha mabasi cha Ubungo, Mahela Nkhama Chilosa.

Irene Ishengoma, Meneja Miradi Global Peace Foundation.

Muandaaji wa kipindi cha SupaBreakfast cha East Africa Radio, Mackriner Siyovelwa (wa kwanza kushoto), akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi wa ARiS Insurance.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dkt. Charles Msonde.

Rais wa TFF Wallace Karia(Wa pili kutoka kushoto), akiwa na Makamu wake Athumani Nyamlani( Wa pili kutoka kulia), Katibu Wilfred Kidao(Wa kwanza kutoka kushoto) na Mkuu wa Masoko Michael Wambura (Wa kwanza kulia) katika hafla ya kusaini mkataba na SBL.

Katibu mkuu wa wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt. Hassan Abbas akizungumza na Waandishi wa Habari.

Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga.