Arne Slot: Salah hakuwa na furaha kuanzia Benchi
Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amefichua kuwa Mohamed Salah hakuwa na furaha baada ya kuachwa nje ya kikosi cha kwanza kilichocheza dhidi ya West Ham United katika mchezo wa EPL uliomalizika kwa ushindi wa 2-0 kwa Liverpool.

