Miundombinu ya Internet Isimamiwe na Serikali
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema kuwa miundombinu ya msingi ya internet haipaswi kumilikiwa na makampuni binafsi, akisisitiza kuwa udhibiti wa Serikali ni muhimu ili kupunguza gharama na kuzuia ukiritimba.

