Mbappe aandika historia mpya, mabao zaidi ya 60
Mshambuliaji wa Ufaransa na Real Madrid, Kylian Mbappé, ameweka rekodi ya kuvutia baada ya kuwa mchezaji wa nne katika karne ya 21 kufunga magoli 60 au zaidi ndani ya mwaka mmoja (kwa klabu na timu ya taifa).

