lLori la mchele lagongana na basi Shinyanga
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha roli na basi, iliyotokea huko katika eneo la Mnada wa Tinde wilayani Shinyanga, mkoani hapa
Kwa upande wake, mmoja wa majeruhi, Robert Daudi, amesema alikuwa akisafiri na watoto wake watatu,

