Paul walker kurudi tena Fast & Furious mwakani
Muigizaji maarufu Vin Diesel amethibitisha kuwa mhusika wa marehemu Paul Walker, anayejulikana kwa jina la Brian O’Conner katika mfululizo wa filamu za Fast & Furious, atarejea kwa mara ya mwisho katika filamu ya mwisho ya franchise hiyo maarufu duniani.