Daraja la J.P Magufuli kuanza kutumika mwezi April
Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde amesema daraja la J.P Magufuli (Kigongo Busisi) lenye urefu wa KM 3 litaanza kutumika rasmi Aprili 30 mwaka huu.