Pogba Atambulishwa AS Monaco AS Monaco imetangaza kumsaini kiungo wa zamani wa Manchester United na Juventus, Mfaransa Paul Pogba, kwa mkataba wa miaka miwili. Read more about Pogba Atambulishwa AS Monaco