Jamie Carragher amemtolea uvivu Mo Salah
Aliyekuwa beki wa Liverpool na mchambuzi wa soka, Jamie Carragher, ametuma ujumbe mzito kwa nyota wa klabu hiyo Mohamed Salah, akimtaka akumbuke alikotoka na aache tabia ya kujiona kuwa yeye ndiye kila kitu ndani ya klabu hiyo.

