Balozi Simon Sirro Aapishwa Rasmi ukuu wa Mkoa Mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Balozi Simon Sirro ameapishwa rasmi leo kuanza majukumu yake kama Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Read more about Balozi Simon Sirro Aapishwa Rasmi ukuu wa Mkoa