Asimamishwa kazi TEMESA kisa ubadhirifu wa bil.2.5
“Mara baada ya kupokea barua hiyo, tulifanya uchunguzi na kugundua kweli kulikuwa na uzembe. Ndipo tukachukua hatua za kuwasimamisha kazi viongozi wote wa Temesa ambao hawakwenda sambamba na kasi ya maendeleo”.

