Rais mstaafu wa Brazil aanza kutumikia kifungo Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro jana Jumanne alianza kutumikia kifungo cha miaka 27 jela kwa kuongoza jaribio la mapinduzi. Read more about Rais mstaafu wa Brazil aanza kutumikia kifungo