Diamond kutambulisha msanii mpya Wcb Wasafi Pichani ni Msanii Diamond Platnumz Huenda kukawa na kutambulishwa kwa msanii mpya kutoka kwa Music Recording Label ya Wcb Wasafi iliyo china ya msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz Read more about Diamond kutambulisha msanii mpya Wcb Wasafi