Kesi ya Mange yahairishwa upelelezi haujakamilika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati wa mitandaoni Mange Kimambi hadi Januari 28, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kueleza kuwa upelelezi haujakamilika.

