Busara na Hekima zitumike zaidi Dabi ya Kariakoo
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa suala hilo limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha.