Tanzania haina dini, bali Watanzania tuna dini.

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wa dini kuepuka kujiingiza kwenye siasa au kutoa matamko kwa niaba ya Watanzania wote, akisisitiza kuwa kikatiba hakuna dhehebu lililopewa mamlaka hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS