Polisi Mtwara waanza uchunguzi kifo cha Sumaya
Mwili wa marehemu umeonekana jana Novemba,22 2025 majira ya saa 01:30 asubuhi katika fukwe ya bahari ya Hindi kwenye miti ya mikoko mtaa Mangoela ukiwa na majeraha katika sehemu mbalimbali za mwili wake pamoja na kuwekewa mchanga wenye tope mdomoni na puani.

