Sir Jim Ratcliffe atishia kuiacha Man United

Sir Jim Ratcliffe - Mmiliki mwenza wa Manchester United

Mmiliki mwenza wa Manchester United Sir Jim Ratcliffe amesema ataondoka kwenye klabu hiyo iwapo mashabiki watamvunjia heshima kama vile ilivyofanyiwa familia ya Glazer.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS