Akutwa amefariki Gesti Morogoro
Mtu mmoja ambae majina lake bado hayajafahamika amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la Kisenga iliyopo eneo la Tawi la Yanga,Kata ya Mazimbu,Manispaa ya Morogoro alipokuwa amelala usiku wa kuamkia leo.

